KARIBU SANA RAFIKI YETU MUNGU ANATAKA KUKUSAIDIA KAMA UKOTAYARI KUPOKEA MSAADA WAKE KUPITIA SEHEMU HII UNANAYOISOMA SASA HIVI ZAIDI YA MASOMO PIA UNARUHUSIWA KUPIGA SIMU KWA MSAADA WA USHAURI NA MAOMBEZI HUDUMA HII NI BURE KWA MTU YEYOTE, 0756 809 209 ITAPOKELEWA NA YULE MTU WA MUNGU NABII SAMSON MBOYA

Blogger news

Thursday, September 29, 2016

On Thursday, September 29, 2016 by Mtumishi wa mungu na mkewe, samson mboya
MAUTI YA KUTOSAMEHE Warumi 6:23 Utangulizi: Watu wengi wamekufa kiroho au kimwili kwasababu ya kutokusamehe na kuachilia wengine wameua hatima zao,vipaji,biashara,uchumba,ndoa,kazi Huduma,kuhubiriuchungaji, watu kwa kutokuweza kusamehe wamezika maisha yao bila kufahamu huu ni ufahamu, usijeukawa...